Paroko mtiifu
Member
- Aug 1, 2018
- 5
- 0
Natafuta pkpk san lg kwa bei ya jumla au kwa anaefahamu ofice zao zilipo anijuze
UKo mji upi?Natafuta pkpk san lg kwa bei ya jumla au kwa anaefahamu ofice zao zilipo anijuze
Nko Dar mkuuUKo mji upi?
Nmezunguka k/koo mkuu naona bei changamano na kuna mtu kanidokeza kuna baadh wamechakachua mashine hvo ntafute yale maduka yao special ya San LgKama kariakoo mtaa wa msimbazi mkabara na soko kuu kariakoo