Msaada

Msaada

Backlin

Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
16
Reaction score
7
Natumia Samsung J7 Prime kila nitaka kutuma picha whatsap au IG ina niambia hili neno hap.
c5869bf41de6493b60a59f37b5a4a21a.jpg
4456288cdaed49e4ce3cab581e7c7a6c.jpg
 
Ngoja wajeeee

Lakin hiyoo ya pili si inakuuliza kama unaweza tumia hiyo app kuaccess picha na vinginevyo so unatakiwa kukubal au kukataa

Jarbu kuwa unasoma maelezoo ndo unafanya kitu mkuu.
 
Muda mwingine jaribuni kusoma maelezo kabla ya kuomba misaada .mambo mengine marahisi sana acha kuwa omba omba kwa vitu vinavyowezekana ,sidhani wala siamini kama kuna mtu humu ndani hajui kiingereza
 
Soma maelezo inayokwambia ukiona umepita kote lkn imeshindikana ndo ulete maelezo ya kina
 
Ngoja wajeeee

Lakin hiyoo ya pili si inakuuliza kama unaweza tumia hiyo app kuaccess picha na vinginevyo so unatakiwa kukubal au kukataa

Jarbu kuwa unasoma maelezoo ndo unafanya kitu mkuu.
Asante mkuu
 
habari zenu, nilikuwa naomba kmwenye apps ya kutengeneza video loggle eg. AYOtv please naomba
 
Toa hiyo App ya kipumbavu inayoandika 75% ram. Inazuia kukubali permissions.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom