prince dudu Senior Member Joined May 24, 2015 Posts 109 Reaction score 77 Dec 5, 2017 #1 Habarini za saa hii wakubwa naomba msaada kama kuna mtu anaezijua network ID za ttcl maana tangu nimejiunga na kifurushi Cha mwezi data tupu mtandao hua unashuka sana na muda mwengine laini inaandika emergency.
Habarini za saa hii wakubwa naomba msaada kama kuna mtu anaezijua network ID za ttcl maana tangu nimejiunga na kifurushi Cha mwezi data tupu mtandao hua unashuka sana na muda mwengine laini inaandika emergency.