nina nchi sita JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 269 Reaction score 146 Nov 2, 2017 #1 App Zote katika simu Yangu zinafanya kazi isipokuwa Facebook, ambayo huonesha kama Hanmna conection za internet. Na nikii restore simu yangu tatizo huisha na kujirudia baada ya Siku chache Simu Yangu nI TECNO L8 WAJUZI MSAADA WENU PLS
App Zote katika simu Yangu zinafanya kazi isipokuwa Facebook, ambayo huonesha kama Hanmna conection za internet. Na nikii restore simu yangu tatizo huisha na kujirudia baada ya Siku chache Simu Yangu nI TECNO L8 WAJUZI MSAADA WENU PLS