Msaada joining instructions chuo cha meno Tanga

Sep 26, 2017
13
3
Kwa wenyeji kaka zetu na dada zetu mlio tutangulia kwenye masuala ya kielimu naombeni msaada.Mimi ni mgen kabisa hum.

Shida yangu ni kwamba nimechaguliwa chuo cha udaktari wa meno Tanga ngazi ya diploma in clinical dentistry nafasi ni thibitisha chuoni lakini tatizo ni join instruction form kama kuna mtu naye kachaguliwa hapo na ameshatumiwa hiyo form, basi msaada aiwekee hapo na mimi niisome.

Msaada jamani maana tarehe iliyotangazwa ya kuanza masomo ishapita sasa, wengine tunahofuu wenda wenzetu washaripoti vyuoni.
 
Kwa wenyeji kaka zetu na dada zetu mlio tutangulia kwenye masuala ya kielimu naombeni msaada.mm ni mgen kabisa hum.shida yangu n kwamba nimechaguliwa chuo cha udaktali wa meno tanga ngazi ya diploma in clinical dentistry nafasi ni thibitisha chuon lakin tatizo ni join instruction form kama kuna mtu naye kachaguliwa hapo na amesha tumiwa hiyo form,bc msaad aiwekee hapo na mm niisome. Msaada jaman maan tareh iliyo tangazwa ya kuanza masomo isha pita sasa, wengine tunahofuu wenda wenzetu washa ripoti vyuon.
usijari walisema diploma kuripoti mwez wa Tisa ila wamegairisha coz wengine wamekosa vyuo me nmechaguliwa same course ni mbeya lakini niltumiwa text kurpoti adi October asante
 
Kwa wenyeji kaka zetu na dada zetu mlio tutangulia kwenye masuala ya kielimu naombeni msaada.mm ni mgen kabisa hum.shida yangu n kwamba nimechaguliwa chuo cha udaktali wa meno tanga ngazi ya diploma in clinical dentistry nafasi ni thibitisha chuon lakin tatizo ni join instruction form kama kuna mtu naye kachaguliwa hapo na amesha tumiwa hiyo form,bc msaad aiwekee hapo na mm niisome. Msaada jaman maan tareh iliyo tangazwa ya kuanza masomo isha pita sasa, wengine tunahofuu wenda wenzetu washa ripoti vyuon.
we jipange tu uende, mengine utayajua hukohuko, kama tu unajua ada ni kiasi gani basi inatosha, ilimradi uwe na hela ya akiba kama laki2 kwa ajili ya kulipia au kununua chochote cha muhimu utakachoambiwa ukifika huko.
 
Asnte ndugu
 
Back
Top Bottom