diannajohn
Member
- Nov 13, 2016
- 76
- 8
Sawa wanakujaNaomba mtu anaefahamu jinsi ya kujaza information unapo aplay kwa recruitment portal anisaidie hata kwa kunipa no yake nikiwa najaza namtafuta ananipa maelekezo,au nikipata mtu anaepatikana mwanza mahali nilipo ingekua vizuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo inbox
usinicheke natumia tu ila sijajua mahali pa inbox ni wapNjoo inbox
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ina maana huoni sehemu ya mesage hapo juu kulia?
Ward Executive Officermsaada ndugu zangu afisa tarafa kwa kingereza
Ward ni Kata mkuu...taja tarafa
msaada ndugu zangu afisa tarafa kwa kingereza
Anaitwa divisional officer
Ivi kama unaandika barua ya maombi kwa kiswahili na CV unaweka ya kiswahili?
Sent using Jamii Forums mobile app