Msaada

mbaga45

Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
70
Reaction score
22
Naomba kuuliza ivi kuna application ambayo inaweza ikanisaidia mtu mwenye number (Mfano.07579166**) inapatikana wapi ata acpo pokea cm.nimeibiwa na nikimpigia apokei...Cm ake inaita too.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAPO HAKUNA UTAALAMU WOWOTE...NENDA POLISI WANAWEZA WAKAKUSAIDIA AU WASIKUSAIDIE...
 
Zipo apps sema ni za kulipia,ingia Google search ila inabidi kwanza uinstall kwenye hiyo simu kabla hiajaibiwa kwa ajili ya kuweza kuona details za location info(Enable cell info display)za mnara na kuweza kukutumia wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…