lovenessy Senior Member Joined Aug 20, 2013 Posts 105 Reaction score 68 May 24, 2017 #1 tatazo la kutoka na vipele vigumu kwenye mashavu ya uke muda mwingine vinawasha muda mwingine haviwashi dawa nyingi zimedunda
tatazo la kutoka na vipele vigumu kwenye mashavu ya uke muda mwingine vinawasha muda mwingine haviwashi dawa nyingi zimedunda
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,158 Reaction score 72,198 May 24, 2017 #2 Ngoja wataalamu waje Dada...Pole sana
KIGHERA Member Joined Nov 19, 2010 Posts 84 Reaction score 28 May 25, 2017 #3 lovenessy said: tatzo la kutoka na vipele vigumu kwenye mashavu ya uke ...muda mwingine vinawasha muda mwngine haviwash dawa nyingi zimedunda Click to expand... Mi sio Dr ila angalia vifaa unavyotumia kunyolea inaweza kua sababu...pole
lovenessy said: tatzo la kutoka na vipele vigumu kwenye mashavu ya uke ...muda mwingine vinawasha muda mwngine haviwash dawa nyingi zimedunda Click to expand... Mi sio Dr ila angalia vifaa unavyotumia kunyolea inaweza kua sababu...pole
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,616 May 25, 2017 #4 Dawa zipi hizo ulizotumia hadi zikadunda?hiyo hali ina muda gani?na umewahi fanya vipimo gani?
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,728 May 25, 2017 #5 Huo ni ugonjwa unaoitwa warts, kimbilia hospitali haraka!
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,271 Reaction score 96,398 May 25, 2017 #6 ni ngumu said: Usigekuwa ulikuwa unakatia kachumbari huko na kuweka ndimi na tangawizi kisa kuniridhisha mimi!...mnk utandawazi huu umetuharibu kweli Click to expand... Ni ukosefu wa nidhamu na ustaarabu unapoleta mizaha kwenye mambo muhimu ya kiafya. Tujifunze kuwafariji wagonjwa kwa maana kabla hujafa hujaumbika... Usijesema sijakushauri.
ni ngumu said: Usigekuwa ulikuwa unakatia kachumbari huko na kuweka ndimi na tangawizi kisa kuniridhisha mimi!...mnk utandawazi huu umetuharibu kweli Click to expand... Ni ukosefu wa nidhamu na ustaarabu unapoleta mizaha kwenye mambo muhimu ya kiafya. Tujifunze kuwafariji wagonjwa kwa maana kabla hujafa hujaumbika... Usijesema sijakushauri.
Jacksonzeno Member Joined Feb 17, 2012 Posts 27 Reaction score 23 May 25, 2017 #7 Huo ni ugonjwa wa warts, dawa ninayo kabla haijawa sugu piga 0762208190