Mpigadili Tz JF-Expert Member Joined May 4, 2015 Posts 1,103 Reaction score 2,128 May 12, 2017 #1 Habari zenu, natumia king'amuzi cha Azam lakini kuna baadhi ya chanel kama mbili hivi zinaonyesha lakini hazitoi sauti ila zingine zinatoa nini tatizo Wakuu?
Habari zenu, natumia king'amuzi cha Azam lakini kuna baadhi ya chanel kama mbili hivi zinaonyesha lakini hazitoi sauti ila zingine zinatoa nini tatizo Wakuu?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,279 Reaction score 72,489 May 12, 2017 #2 Ngoja waje