Msaada: "Your transaction id is not valid or there is delay of receiving id details to our system"

Kaputula La Marx

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
562
493
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimefanya malipo kwa njia ya Mpesa ili nipate vocha numba ya TCU kwa ajili ya selection za vyuo.

Ajabu ni kwamba kila nikiingiza vocha niliyopewa napata ujumbe kuwa transaction id is not valid na kama ni valid ilinipasa kusubiri kwa saa moja ili taarifa zifike kwenye system yao.

Nimesubri toka jana mpka leo lakini kila nikirudia mchakato majibu ni yaleyale tu. Hivyo yeyote anayefahamu kuhusu hili naomba anisaidie nifanye nini.Asanteni
1469597936771.jpg
 
Na mimi ndo yale yale toka Jana ucku had mda huu saa hiv ucku tena.... It means masaa 24 Hali ile ile na hapo Nimejaribu mara kibao.... Kuna haja ya hawa jamaa kuchek system zao kuna madogo wametoka bush kuja kufanya application mjini afu wanabak njia Panda had muda huu
 
Ww ndo unakosea mkuo..maelezo yao hapo juu wanasema kama kweny transaction ID yako unachanganya kat ya letter O na namba 0,,rekebisha kwa kubadil zikigoma ndo usubir for about an hour ndo ujarbu tna..
 
Back
Top Bottom