Habari,
Mimi ni mtumiaji wa hii App ya X zamani twitter ila inapotokea inahitajika kuifanyia update inashindikana kwasababu simu yangu ni android version 7.
Halafu ni tecno na sasa hivi hii App inahitaji simu yenye android version 8 na kuendelea na uwezo wa kununua simu nyingine sina sasa kwa wajuzi naweza kutumia njia gani ili niweze kuifanyia update (sasisho) hii app!,
Naomba msaada, asante.