habari wadau poleni na majukumu naomba msaada kwa wadau wanaojua maswali wanayouliza ttcl katika written interview natanguliza shukrani zangu za dhati interview tarehe 25.03.2015
Habari wadau poleni na majukumu naomba msaada kwa wadau wanaojua maswali wanayouliza TTCL katika written interview natanguliza shukrani zangu za dhati interview tarehe 25.03.2015
Dah kizazi hiki taabu tupu, kuchakachua kila sehemu! hakuna shaka hii ndio sababu ya ufisadi kutokwisha. Utajibu vizuri maswali yao watadhani wamepata mwenye uwezo kumbe ulidesa. Ukipewa kazi utaishindwa ila utajiunga na TUICO na kuongoza migomo na maandamano ya maslahi bora. I really hate people of your type, you are pulling us back
Ttcl wanajua kutunga ngoma ilikuwa tyt oral bado hawajaaaza kuita please note ukiitwa interview ttcl ujipange usikurupuke otherwise utachora zombi