msaada windows iliyocorrupt.

msaada windows iliyocorrupt.

Have tried to do a system repair?
Na unapata error message gani kwa screen??
 
xorry mimi nahitaji kufahamu jinsi ya kuitibu os iliyocorrupt kwa vyovyote bila kuiformat disk. msaada wako mheshimiwa.

Jaribu kufunguka kidogo, maana unaposema imecorrupt nashindwa kujua kama inauwezo wa kuboot OS, au hata kuwaka haiwaki.
Halafu unatumia version ipi ya Windows?
 
Jaribu kufunguka kidogo, maana unaposema imecorrupt nashindwa kujua kama inauwezo wa kuboot OS, au hata kuwaka haiwaki.
Halafu unatumia version ipi ya Windows?
nikiwasha inawaka nakudisplay manufacture name then inazima,os ni windows 7 altimate. Na kunanyingine ikiwashwa inaonyesha option nyingi nying za kucomand, lakn ingekuwa vizuri zaidi ukanielekeza case zote ambazo hutokea after os kukorupt. Asante.
 
Pole na umenifurahisha sana,hapa JF tunapita onetime tunasaidia tunapoweza tuna shughuli zetu.Wewe nahisi ni fundi au unajifunza ufundi na unataka utatue matatizo kwa kusaidiwa kupitia jf kwa nini nimesema hivyo.
1.Umereport tatizo la kwanza na ukisoma hapo kwenye red ,inaonyesha una zaidi ya computer moja inatatizo la OS.
2.Unataka sisi tukupe option zote hata solution ambazo tatizo lake halipo,wewe uko na hizo computer huko uliko,wewe ndiyo unatakiwa ueleze nini kinatokea siyo sisi.Unataka upewe majibu alafu utafute swali,very interesting.

Nani amekwambia tatizo ni OS?Unawasha inaonyesha manufacturer name na kuzima hata POST haifanyiki,what if ni hardware issue.Ushauri nwa bure tafuta fundi aliye karibu akusaidie,utapoteza data za watu bure iwe issue.
Ngoja wakija wenye muda wa kutosha watakueleza,subiliasubilia.
 
nikiwasha inawaka nakudisplay manufacture name then inazima.....

Mkuu tatizo lako huwenda likawa lasababishwa na RAM ndio maana hata OS inashindwa kuboot, jaribu kubadili RAM au pia unaweza kuzitoa na kuzifuta kwa ufutio ile sehemu yenye vibatibati (ikiweka ukungu huwa inaleta mushkeli).

Na kunanyingine ikiwashwa inaonyesha option nyingi nying za kucomand,
Una uhakika wakati wa kuizima hii ulifuata vizuri hatua za uzimaji? au ilizimika kwa kukatika kwa umeme?

nikiwasha inawaka nakudisplay manufacture name then inazima,os ni windows 7 altimate. Na kunanyingine ikiwashwa inaonyesha option nyingi nying za kucomand, lakn ingekuwa vizuri zaidi ukanielekeza case zote ambazo hutokea after os kukorupt. Asante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom