Smartbrain
Senior Member
- Mar 23, 2013
- 184
- 35
Habar zenu wakuu. Nina laptop yangu hp elitebook2530p .Nilikua natumia window 8 but nikawa nimeichoka nikatakubadirisha niweke window 7 .kila nikianza installation nikifika sehemu ya kuchangua haina ya hiyo window either starter, ultmate or professional pc inastuck hapo haifanyi chochote mpaka uzime tena kwa power button ..nikajaribu kuweka window 8 pia na yenyewe inahishia sehem ile ile yinapaishia window 7 ..nimejaribu ku clear cmos na kuto kila kitu ikiwepo processor na ram afu nikavirudisha but still tatizo ni lile lile hata nikijaribu kubadirisha cd za window still na stuck pale pale..... Naomben msaada wenu wakuu