Msaada window 8

Msaada window 8

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
Habari..
Nina window 8 kwene pc bt tatizo ni kwamba inajiwasha yenyewe bila mm kubonyeza power on button.. Nikifungua tu LID ya pc..inajiwasha yenyewe..
Msaada tafadhl kwa wenye solution ya hii kitu
 
Mi nadhani ni kawaida ya window 8. Na mimi Nilikuwa na tatizo hilo ila nikaambiwa ndivyo ilivyo na kuna mtu akaniwekea setting upya so ikawa nikitaka kuwasha nawasha kama kawaida. Hebu tusubiri wenye mawazo mengine labda watakuwa na mengi zaidi
 
Hata ukienda kwenye tab ya settings > shut down
inafanya hivyo?
.
tatizo halipo katika kujua namna ya kushut down..ni kwamba nikishut down ikazima kabisa... Ikipita muda flani na nikitaka kuitumia..nikifunua tu lid yake..kitu kinajiwasha chenyewe bila mie kubonyeza power button
 
Habari..
Nina window 8 kwene pc bt tatizo ni kwamba inajiwasha yenyewe bila mm kubonyeza power on button.. Nikifungua tu LID ya pc..inajiwasha yenyewe..
Msaada tafadhl kwa wenye solution ya hii kitu

Kama ukifungua laptop yako inajiwasha yenyewe then inamaana laptop yako haikuwa imezimwa bali ilikuwa ime-sleep. Fuata hatua zifuatazo ili kuizima laptop yako kama unatumia windows 8 na sio windows 8.1.
  1. Peleka mouse yako hadi kwenye kona ya juu upande wa kulia then utaona kama menu flani hivi imetokea.
  2. Baada ya hapo shuka hadi mwisho kabisa wa hiyo menu na ubofye settings.
  3. Baada ya hapo bofya button iliyoandikwa power halafu ubofye shutdown kama inavyoonekana kwenye screenshot hapo chini.
power_settings.png
 
tatizo halipo katika kujua namna ya kushut down..ni kwamba nikishut down ikazima kabisa... Ikipita muda flani na nikitaka kuitumia..nikifunua tu lid yake..kitu kinajiwasha chenyewe bila mie kubonyeza power button

.
Unaweza uka hold power button
mana win 8 zikiingia tu
zina ji set uki close the lid ina sleep/ uki click power button ina sleep pia
i hate win 8 from the button of ma heart
i have win 7 my self it's THE second week now sija shutdown and am using SDD
why should you shut down you're PC?
 
Sasa si ndo poa haihitaji kuumiza kidole... technologia hiyo.
 
Ukweli ni kwamba hiyo computer haizwi kabisa, hili tatizo nimetoka ku-solve juzi kutoka kwa rafiki yangu mmoja naye alikuwa na madai kama haya, kinachotokea wakati wa kuzima ni kwamba screen inatangulia kuzima kabla CPU haijazima na hapo mtumiaji huifunga, kwa kuwa CPU inakuwa haijazima kitakachotokea ni ku-sleep, inapotokea ukaifungua unapotaka kuwasha yenyewe inakuwa on na screen itawaka. Unashauriwa unapozima hakikisha mpaka LED POWER/ON LIGHT inazima ndo ufunike computer yako utaondokana na tatizo hili
 
.
Unaweza uka hold power button
mana win 8 zikiingia tu
zina ji set uki close the lid ina sleep/ uki click power button ina sleep pia
i hate win 8 from the button of ma heart
i have win 7 my self it's THE second week now sija shutdown and am using SDD
why should you shut down you're PC?

Mkuu, kwenye windows 8 mara nyingi screen hutangulia kuzima halafu hufuata cpu, kosa wanalofanya watu wengi ni kwamba inapozima screen wao huifunga ambapo cpu hu-sleep, unatakiwa kuzima computer yako mpaka ile LED ya ON izime kabisa
 
Mkuu mi huwa nashangaa sana mtu anpo shut down PC yake!
.
 
Back
Top Bottom