Habarini. Naombeni link ya kudownload au msaada wa kuzipata drivers za wifi za samsung windows 7 ultimate 32bit. Pc yangu nilibadilisha window sasa nashindwa ku connect na wifi. Msaada please. Thank you
Chief mkwawa ni PC yangu HP haitaki kupunguza mwanga naumia sana macho nikitaka kukaa kuitumia msaada nafanyaje .? Na vile vitufe vya kupunguzia mwanga havifanyi kazi kabisa

Download "Slim Drivers" ni software ipo google,..install,.,scan computer yako,itakuonesha drivers zote ambazo PC yako inamiss na itakupa option ya kuzidownload hapo hapo,.. Inakuletea drivers za PC yako kabisa.

Nah,..sio kubwa, sidhani ka kinafika hata 100mb.,. Hakiji na hizo drivers,kinakupa link za kudownload kutoka kwa manufactures na sehemu nyingine. Wewe ndo unachagua driver zipi udownload.