Msaada WhatsApp

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
752
Reaction score
154
naombeni msaada kwa anayeweza kunisaidi, nataka kuripia whatsApp ila shida yanu sina bank account inayoruhusu maripo ya online , mwenye kujua jinsi ninavyoweza kufanikisha hili ntashukuru sana
 
Huwez pata humu wa kukulipia...ukipata ulete jibu...hapa

Sitaki wakunilipia, mimi namlipa yeye kama yuko tayari/ako na uwezo wa kufanya malipo online, kwa hilo nadhani nitakuwa nimelipa kwa kutumia accounts yake
 
Sitaki wakunilipia, mimi namlipa yeye kama yuko tayari/ako na uwezo wa kufanya malipo online, kwa hilo nadhani nitakuwa nimelipa kwa kutumia accounts yake

Huyo wa kutumia account yk ndio hutompata humu
 
kama ac yako ime expire unstall na u clear data utapewa mwaka mwingine bureee sisi 3rd party bado hatujaanzwa lipishwa hiyo kitu
 
kama ac yako ime expire unstall na u clear data utapewa mwaka mwingine bureee sisi 3rd party bado hatujaanzwa lipishwa hiyo kitu


hii itakuwa my last resolt kama nitashindwa kabisa kupata jinsi ya kulipa, maana nataka nilipe its about 1$$ kwa mwaka
 
kama ac yako ime expire unstall na u clear data utapewa mwaka mwingine bureee sisi 3rd party bado hatujaanzwa lipishwa hiyo kitu

Fuata maelezo hayaaa,,, usopoteze muda wako bureeee mkuuu... Hapa umeelekezwa vizuri sanaa sasa sijui unatakaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…