Msaada Whatsapp plus

Lukanka

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
518
Reaction score
538
Habari wanajamvi.
Kuna hii Application inayoitwa whatsapp plus, inafanya kazi sawa na whatsapp messanger tofauti yake ina vitu vingi vya ziada jinsi walivyoikastomaizd, natamani sana kuwa nayo lakin nimeshindwa kuinstall. Kama Kuna mwenye uzuji na hii Application anisaidie tafadhari ili iweze fanya kazi kwangu, kwani imenivutia kwa kweli. Natanguliza shukrani.
 
umekwama wapi tukusaidie?
 
umekwama wapi tukusaidie?

Nimejaribu kufauatilia jinsi ya kuinstall lakin, Kuna file natakiwa niinstal kabla ya uninstall whatsapp messanger. Ndo nimeshindwa kupata hiyo file ambayo ina whatsapp plus, kama unaweza nisaidie mwanzo yan hatua zote hadi mwisho mkuu
 
futa hyo whatsapp official uliokua nayo then download hii plus kweny link hapa chini.fanya kucopy hii link yote then paste kwenye url bar ili kupata file lako la plus then utaona download .

http://www92.zippyshare.com/v/URsdJEXY/file.html
 
Mkuu, nishaitoa ile ingine mwanzo kabisa kabla sijaidownload hii plus lakin imapokuwa ina install mwishoni napata ujumbe huu, hapa tatizo ni nini?
 
Attachments

  • 1440601645336.jpg
    11.5 KB · Views: 187
Nijuavyo mimi, whatsapp hawatak utumie whatsapp plus, nlikuwa naitumia lakn ikawa blocked kwa 24 hrs, japo ni zamani, lakn cjajaribu tena cku za karbun...
Ila kwa hyo msg unapata, htoweza kamwe kui instal whatsapp+, mpaka ui root cm yako na uifute kabsa whatsapp ilotoka na cm... Na ku root cm, kama hukujui, bora uache, mana ukienda vby, cm inakuwa bricked, htoweza itumia tena
 
Aksante, vip ukifanaya restoration ni kazi bure katika kujitahidi kuitoa kabisa whatsapp nahisi baadhi ya file zake hubaki pale unapoitoa kawaida
 
Mkuu, nishaitoa ile ingine mwanzo kabisa kabla sijaidownload hii plus lakin imapokuwa ina install mwishoni napata ujumbe huu, hapa tatizo ni nini?

fanya hivi..rudisha official whatsapp tena then nend kweny setting af apps kafungue whatsapp kisha clear cache na pia clear data then uninstall kisha weka plus.
 
fanya hivi..rudisha official whatsapp tena then nend kweny setting af apps kafungue whatsapp kisha clear cache na pia clear data then uninstall kisha weka plus.

Poa poa mkuu, shukrani
 
Kama cm yako imetoka dukan ina whatsapp, hata kama ime expire, htoweza weka whatsapp+.
Kwanini?
Kwa sbb .apk (program files za android) zina identification za maker, (ambazo zaitwa "signature" ) , na whatsapp+ na whatsapp original japo zakaribiana sana, zina signature tofaut, thats why inakupa hyo message ya conflicting signature...
 
Kwa meseji yako, mmhh... Sielewi cha kufanya tena kweli kabisa simu yangu nimeinunua na whatsapp messanger nlifanya kui update tu kabla ya kuanza kuitumia. Ndo bas tena, aksante sana mkuu
 
Aksante, vip ukifanaya restoration ni kazi bure katika kujitahidi kuitoa kabisa whatsapp nahisi baadhi ya file zake hubaki pale unapoitoa kawaida

Restoration doesn't help, sbb ujue hyo hureplace tu programs zote na manufacturer defaults za programs zote, ikiwemo whatsapp, kama cm yako inayo.
 
Restoration doesn't help, sbb ujue hyo hureplace tu programs zote na manufacturer defaults za programs zote, ikiwemo whatsapp, kama cm yako inayo.

Sawa mkuu, shukrani sana.
 
Lakini wakati huohuo, whatsap+ ilikuwa banned ictumike, cjajua kama imeanza kufanya kazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…