Hahahahaha,Aksante Ila Ubaya Zaidi Ni Kuwa Situmiii Hii WhatsApp Kwa Uwingi Uo....Ila Kuna Group Ambalo Nahitaji Pata Taarifa Zake So Nahitaji Kwa Kipindi Hiki Kwa Umuhimu Zaidiinakukumbusha kuwa you are too addicted. pata muda kupumzisha akili na kuwaza free of stress.
Cheki software kama kuna app inaitwa Hi-Manager kwenye cm yako, huwa inablock mobile connection kwa apps muda mwingine randomly tu bila hata ww kuiset hvo. Ingia hapo ucheki kama Whatsapp imetikiwa au vpBoom J8, Ukiconect Na Wi-Fi Inakubari Lakini Na Mobile Data Inagoma,
Na Nipo Mazingira Ambayo Siwezi Tumia Wi-Fi
Nishaingia Apo Naingia Kwenye Kitu Gani Maana Naona Kuna, MOBILE CLEANUP,DATA TRAFFIC MANAGEMENT,HARASSMENT BLOCK,AUTO START MANGMNT NA APP MNGMNTCheki software kama kuna app inaitwa Hi-Manager kwenye cm yako, huwa inablock mobile connection kwa apps muda mwingine randomly tu bila hata ww kuiset hvo. Ingia hapo ucheki kama Whatsapp imetikiwa au vp
Ingia Data Traffic Management ucheki app zilizotikiwa halafu ucheki Whatsapp kama imetikiwaNishaingia Apo Naingia Kwenye Kitu Gani Maana Naona Kuna, MOBILE CLEANUP,DATA TRAFFIC MANAGEMENT,HARASSMENT BLOCK,AUTO START MANGMNT NA APP MNGMNT
Haina mbaya 🙂Nimeingia Apo Nimekuta Ilikuwa Aijatikiwa Nimeitik Naona Jumbe Zinaingia Thanks Mkuu
Zinasumbuaje?Ila Nina Ishu Na Google Voice Inanisumbua Kweli Yaani
Na Pamoja Na App ya Babel Fonts Nayenyewe Imegoma
Yaani Hii Voice Ya Google Huwa Inaniingilia Mfano Nasikiliza Redio au Music Inanibadirishia Sauti Inanibadirishia Nyimbo Inawasha Redio Bila Kuiambia Ina Interrupt Mpka Inakutoa Kwenye Mood..Zinasumbuaje?
Cheki hii link How to Turn Off “Ok Google” on Your Android Device, hiyo Babel font sijawahi kuitumia....jaribu kuclear data labda itakubaliYaani Hii Voice Ya Google Huwa Inaniingilia Mfano Nasikiliza Redio au Music Inanibadirishia Sauti Inanibadirishia Nyimbo Inawasha Redio Bila Kuiambia Ina Interrupt Mpka Inakutoa Kwenye Mood..
Kwenye Babel Fonts Ni Aitaki Funguka
Mkuu niipe maaarifa kidogo watu wa group wasione kama nimesoma commentsIngia Data Traffic Management ucheki app zilizotikiwa halafu ucheki Whatsapp kama imetikiwa
Sijakuelewa kakaMkuu niipe maaarifa kidogo watu wa group wasione kama nimesoma comments
Sent using Jamii Forums mobile app