Msaada :WhatsApp inagoma

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,180
Reaction score
3,118
Simu yangu aina ya tecno j8 Jana haikua inaaingiza sms za WhatsApp wakati data iko on .

Nikamua ku unstall ,sasa kila nikitaka kuinstall upya inaniandikia hivi
 
Hivi simu fake si zilipigwa marufuku Tanzania?
Hata bangi hairuhusiwi Tanzania mkuu,ukienda mtaani je hazipatikani ??

Nasubiria msaada wako mkuu
 
Mkuu pole saana kwa tatizo lako, lakini jaribu kudownload GB whatsapp kutoka kwenye google. We ingia google kisha andika GB whatsapp kisha download na install. Kumbuka GB whatsapp haipatikani play store
 
Asante mkuu
 
Hiyo kama ngao ni nini juu kabisa kushoto? Una bundle ambayo ni ya mtandao full kabisa au bundle za kizushi za WhatsApp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…