Msaada: WhatsApp GB kwenye simu yangu inagoma

Msaada: WhatsApp GB kwenye simu yangu inagoma

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,119
Reaction score
1,808
Habar za majukumu wanajamvi! Msaada jaman kwenye tuta, na download whatsapp gb kwenye cm yangu inagoma kwa anayejua tatizo nn naomba anisaidie....natumia samsung A03s.

Asanten nawasilisha
 
Habar za majukumu wanajamvi! Msaada jaman kwenye tuta, na download whatsapp gb kwenye cm yangu inagoma kwa anayejua tatizo nn naomba anisaidie....natumia samsung A03s.....santen nawasilisha
Kama una download kupitia duka la Google sahau kuipata.
 
Back
Top Bottom