Nadhani hiyo OS yake hai supportWadau naomba msaada wa kupata application ya whatsapp kwenye simu yangu aina ya TECNO T731(android), kwani kila nikijaribu zinagoma kudownload.
Natarajia msaada wenu
haina uwezo bwana mdogo!
wadau naomba msaada wa kupata application ya whatsapp kwenye simu yangu aina ya tecno t731(android), kwani kila nikijaribu zinagoma kudownload.
Natarajia msaada wenu
nijuacho mimi kila simu a android ina whatsapp mkuu,ingia kwenye google store,utaikuta i-download..
Mfumo wake ni wa COSMOS support whatupp app mkuunijuacho mimi kila simu a android ina whatsapp mkuu,ingia kwenye google store,utaikuta i-download..