Msaada wenu

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
523
Reaction score
916
Wakuu wapi naweza nikabadilisha pesa za uturuki kwa Dar es salaam? Nimejaribu maduka ya kubadilisha pesa kariakoo hawabadilishi, kama kuna mtu mwenye ufahamu aniambie. Asanteni
 
Itakua uwanja wa fisi au vingunguti kwa mnyamani
 
Kuna bureau moja mtaa wa Zanaki huwa wanabadilisha pesa za nchi nyingi, ila sikumbuki ni mtaa wa Zanaki na India km sikosei.

Ukitoka pale NHC Samora Fuata mtaa wa Zanaki mbele kidogo tu utaiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…