Nahitaji msaada toka kwenu nina Subwoofer aina ya aborder (Model: AB 3350 imekumbwa na tatizo la sauti). Ninapoiwasha inatoa sauti ya chini sana wakati volume ipo mwisho
Huwa naonaga Mara nyingi transistor za bas (ktk sabufa nyingi nilizoziona) zinakufa na kuacha twita zikiendelea kufanya kazi.
Sababu ni zipi zinazofanya transistor za bas kufa?