Msaada wenu Wataalam au kama aliwahi kutibiwa na ukapona, ushauri wako utasaidia

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Wasalaamu ndugu. Poleni na mihangaiko ya kila mara. Binafsi siumwi, ila rafiki yangu anaumwa sana kama nitakavyoelezea hapa chini.

NOTE; Pamoja na kuumwa kwake huku kama hajakwambia huwezi jua kama anaumwa, sababu anatembea ni mzima kama wewe msomaji ulivyo hapo ukimuangalia kwa macho. Ila nimeshirikiana Naye kwenda kwa Madaktari, Hospitali mbalimbali kufanya vipimo vingi matokea yanatoka tofauti, na kama ikionekana labda anasumbuliwa na ugonjwa uliogundulika akipewa dozi bado hali inabaki kuwa ileile.

*MATATIZO YANAYOMSUMBUA* *( DALILI )*

Mwili kuchoka, kuuma (ususani upande wa kifua & mgongo ). Maumivu makali katikati ya tumbo na kifua na wakati mwingine baadhi ya sehemu za mwili upata ganzi mfano akikaa miguu ufa ganzi, mdomo kuchacha na kusikia vichomi,.

Tunaomba msaada wenu. Mungu awabariki
 
Ok. Nimegoogle nikaona hichi kichupa na bei yake
Screenshot_20190719-220251_eBay.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_20190719-220251_eBay.jpeg
    Screenshot_20190719-220251_eBay.jpeg
    15.6 KB · Views: 28
Mpe pole sana,Mungu atamponya na kumuweka huru,aendelee tu kumtumainia yeye...
 
Ulcers na diabetes amecheki?
Diabetes ikikomaa uchovu na viungo kuuma.
Hayo maumivu ya moyo na katikati ya kifua na tumbo yanasound kama vidonda vya tumbo.
Hebu ajaribu kunywa anti acids kila akisikia maumivu ya tumbo/ moyo halafu ulete mrejesho...!
Pole sana.
 
Ahsante. Ngoja ajaribu nitaleta mrejesho
Ulcers na diabetes amecheki?
Diabetes ikikomaa uchovu na viungo kuuma.
Hayo maumivu ya moyo na katikati ya kifua na tumbo yanasound kama vidonda vya tumbo.
Hebu ajaribu kunywa anti acids kila akisikia maumivu ya tumbo/ moyo halafu ulete mrejesho...!
Pole sana.
 
Alipima akakutwa na H pylori na kuhusu Ant acid anatumia na akinywa maumivu upungua

Back
Top Bottom