M Morick Senior Member Joined Dec 11, 2012 Posts 114 Reaction score 17 Mar 23, 2013 #1 Naomba kujua kuhusu salary ya Loan officer au bank officer wa AKIBA COMMERCIAL BANK (ACB), na pia kuhusu ujumla wa mazingira ya kikazi ya hii bank. Nawasilisha.
Naomba kujua kuhusu salary ya Loan officer au bank officer wa AKIBA COMMERCIAL BANK (ACB), na pia kuhusu ujumla wa mazingira ya kikazi ya hii bank. Nawasilisha.
Nivea JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,771 Mar 23, 2013 #2 Umepata nafasi ya yule bwana aliyeiba pale acb ya kkoo nini hehehehe mi sijui ngoja waje!!