Habari wakuu naomba kuuliza nataka kupiga chini window ya pc yangu ila sina program za kuweka baada ya kupiga chini hasa hasa free antivirus naweza zipata site ipi ili nipate set up zake.
pia kuna baadhi ya program nazipenda ila nashindwa namna ya ku extract set up zake plz naomba msaada wenu.
Hbr wakuu naomba kuuliza nataka kupiga chini window ya pc yangu ila sina program za kuweka baada ya kupiga chini hasa hasa free antivirus naweza zipata site ipi ili nipate set up zake na pia kuna baadhi ya program nazipenda ila nashindwa namna ya ku extract set up zake plz naomba msaada wenu.
Ni internet search tu...tumia keywords kama 'avast antivirus free download' e.t.c
Mara nyingi setup huwa ni self-extracting, lakini kama unakutana na archives basi download WinRAR ili iweze kuziextract. By the way, user manuals ni muhimu kupitia.