Mwenzenu mikono imeanza kuniuma siku za karibuni lakini siyo muda wote bali kuna wakati inauma halafu baada ya muda haiumi sijui tatizo ni nini, naombeni ushauri wenu wakuu!!
Mwenzenu mikono imeanza kuniuma siku za karibuni lakini siyo muda wote bali kuna wakati inauma halafu baada ya muda haiumi sijui tatizo ni nini, naombeni ushauri wenu wakuu!!
Sasa kama hujakwenda Hospitali unangojea kitu gani? ushauri wa watu humu ndani?Nenda kamuone Daktari akupime ili apate kujuwa unaumwa na kitu gani usidharau shauri yako Dodoma moja
Mkuu mbona wewe una maneno ya kejelı? unamuambıaje mwenzako afe mara moja? Mkuu Pdidy mbona unajibu majibu ya kihuni wakati mwenzako ana shida?