Ndugu zangu wanaJF,
Napenda kutumia fursa hii kuleta kwenu Ombi langu la kunipa/kuniwezesha kupata kazi,
Iwe kwa mtu binafsi au Kampuni/Shirika/Taasisi anaye au inayo jihusisha na kilimo au usambazaji wa Zana za kilimo mahali popote.
Nimehitimu Stashahada ya Zana za Kilimo (Diploma in Agro-Mechanization).
Naomba msaada wenu tafadhali.