Hiyo laptop itakuwa imeshake so angalia connection za kwenye hard disk kama ziko ok kwa sababu signal kutoka kwenye hard disk haipo,nenda kwenye boot sequence au bios angalia kama hiyo hard disk inaonekana kama haipo ndio ucheki connector ya kwenye hard disk.
umejaribu kubadilisha data cable ya hyo disk?je umeweka settings vzuri?yaani ianze mwanzo kuboot frm cd?
Bado ipo kwennye warranty? Is so warudishie wakafix. If not na kama hauna utaalamu wa computer hasa hardware peleka kwa fundi.
Habari wakuu,
nina laptop ya compaq hp nc6220
pentium m, nilikuwa naitumia pasipo na tatizo lolote , juzu niliitumia kuizima baada ya kumaliza kazi zangu.
Jana naiwasha ina niletea error MSG (NON-Disk or disk error) nikajaribu njia zote nazozijua. Nimejaribu kutembelea website ya hp na kusoma maelekezo yao ya kuremove usb/cd/dvd bado tatizo lipo pake pale, nimenunua hdd mpya hamna kitu, pia haikubali ku-boot toka kwenye cdroom japokuwa cd nilizonazo ni bootable.. Msaada tafadhali
Nilishapata tatizo kama lako. Angalia kwenye device manager utakuta inadisplay removable disk nyingi itabidi uzi disable.
Problem solved yet?!! if not fanya hii kitu
1- toa battery
2-ifungue laptop
3-toa cmos battery(ipoteze memory yako. CMOS ni ka bettry fulani hivi kama ya saa)
4-toa ram.
5-after few minutes irudishie vitu vyake!!
NIA NI KWAMBA KUIPOTEZA AKILI KWA MUDA NI SAWA NA KURESET INTO FACTORY SETTING ILA NI HARDWAY BILA KUPITIA KWENYE BIOS SETTING...COZ CMOS BATTERY BADO INATUNZA KUMBUKUMBU ENDAPO LAPTOP IMEZIMWA .
after that washa na utaona computer inakuuliza leo ni lini!!!! hehe kila kitu powaaaaa!!
I HOPE THIS WILL FIX IT!!
Q. What causes a non-system disk error?
A. Non-System Disk or Disk Error results when the Basic Input/Output System (BIOS) cannot find the boot sector or the master boot record is missing or damaged; i.e. the device does not have bootable media. The BIOS searches drives in the order usually specified in the CMOS Setup. This order is often, but not always, A: (floppy drive), C: (first partition on the hard disk)… The error will occur during startup if the CMOS is set so the BIOS seeks the floppy drive first and a non-bootable
jaribu pia kufuata haya maelezo yatakusaidia.... Q&A: how to resolve "windows no disk" error in windows xp | TechRepublic