fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,498
- 27,813
- Thread starter
-
- #21
Ina maana hauna kitu chochote ambacho unaweza kumgeia mwenzio akakifaidi akakupa hiyo hela na wewe ukaendelea kubaki nacho?
Weka namba yako ya tigo paka na ky kabisa harafu njooo sasa hapa uchukue hera yako tena sio elf8 tena ni 20000
Weka mawasiliano yako mkuu,kuna watu hawajatoa sadaka Leo watatoa chochote!
Why tulete kejeli kwa 10000/=?
Au unataka usetie mkeka mzee
Nataka nkupe msaada wa mawazo upo tayar ...
Nadhani ata update...maana najua raia watakuwa wamechangia na wenda kimevuka kiasi
Nashukuru mkuu nimepata barikiwa sanaNataka nkupe msaada wa mawazo upo tayar ...
Nashukuru Nimefanikiwa kupata mkuu bado elfu tatu mpaka sa hv nina 7000 ila ninawashukuru pia
Mwambie ankope buku mkuuNadhani ata update...maana najua raia watakuwa wamechangia na wenda kimevuka kiasi
Anyway mkuu,nlijua watachangia na wengine..ila nmekumalizia hicho kilicho bakia..Nashukuru Nimefanikiwa kupata mkuu bado elfu tatu mpaka sa hv nina 7000 ila ninawashukuru pia
Ubarikiwe sana mkuu umenisaidia sana yaani sina hata cha kusema zaidi ya kukuombea na kushukuruAnyway mkuu,nlijua watachangia na wengine..ila nmekumalizia hicho kilicho bakia..
HahahahahaMwambie ankope buku mkuu
Nna njaa nchukue bagia za 200 hapa [emoji1]
Pamoja manUbarikiwe sana mkuu umenisaidia sana yaani sina hata cha kusema zaidi ya kukuombea na kushukuru
Unapata 20 elfuDuuh ndo inakuaje hyo tala