Msaada wenu tafadhali nina shida

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,498
Reaction score
27,813
Habari za jumapili wakuu
wakubwa shikamooni
kama heading inavyojieleza hapo juu nina shida ya elfu kumi mwenzenu afu hapa mfukoni nina elfu 2 kwa hyo nimepungukiwa shilingi elfu 8 naomba msaada wenu wandugu nimekwama nina shida sana mwenye mia 5 au chochote kile ili mradi nipate elfu 8 kamili nmejaribu kuseti japo michongo lakin nmebuma nahtaji msaada wenu tafadhali na0mba mnisaidie mdogo wenu
KUTOA NI MOYO
 
Uza smart phone yako hyo sheziii
 
Weka namba yako ya tigo paka na ky kabisa harafu njooo sasa hapa uchukue hera yako tena sio elf8 tena ni 20000
 
Download Tala au Branch unapata mkopo fasta tena zaidi ya hiyo
 
Ina maana hauna kitu chochote ambacho unaweza kumgeia mwenzio akakifaidi akakupa hiyo hela na wewe ukaendelea kubaki nacho?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…