Msaada Wenu Plz: Moonlight Lady

Money Penny, siku hizi kuna wanaume suruali wale wanaume rijali sijui wameshakufa au wamezeeka.....

Kizazi hiki cha Marioo huo ujasiri wanaupata wapi kwa mfano,
Mwanaume akimuona mende anapiga kelele....

Pathetic.
 
Makubwaaaaa!!!!
Kwa hiyo mwanamke asiende akafurahi kwenye kumbi za starehe kisa ni mwanamke....

Mfumo dume sijui utaisha lini jamani.
"KUMBI ZA STAREHE"

Yaani huoni hata aibu kweli,
Hebu rudia kuisoma tena comment yako,

Hivi hamjiulizi kuwa kwa nini siku hizi waoaji hamna.
 
Kuna mshkaji wangu akiwa anaongea na demu wake wote mpo kwenye kochi moja lakini hutasikia sauti, anaongea kwa kubembeleza sauti anailegeza balaa, anabembeleza na nyimbo anaimba. Huyu ni sampo ya % ya wanaume siku hizi.

Akanifanya nione sasa wale wagumu soko letu limefika omega, ila kuna posts mbili tatu nimeziona naamini bado kuna someone out there tunaweza tukawezana.
 
"KUMBI ZA STAREHE"

Yaani huoni hata aibu kweli,
Hebu rudia kuisoma tena comment yako,

Hivi hamjiulizi kuwa kwa nini siku hizi waoaji hamna.
Aibu iwe juu yako,
Hizo kumbi walijengewa Panya????

Waoaji hakuna???? Teh teh sema wewe hujaoa harusi zote hizi tunazo hudhuria.....

* Blue na mkewe walikutana Bills.*
 
Internet imetengeneza madomo zege!!! Kutwa kubwabwaja na kujitia vidume mitandaoni ila ukiwapeleka kwenye real world midomo inakufa ganzi.
Ahahahaha, nimecheka asee

Mbona mna hasira, hate the game and not the player
Game ipo the same hatuichukii, football ni football ila wachezaji wanabadilikaga sana, basi na nyie wanaume badilikeni basi nko hapo hapo tu! Kiruu

Mna ngoma hatuwataki haooooo
Mungu anakuona, hata wewe usipojiangalia utakuja kuambiwa unachi ulichokitaja! Kiru!

Makubwaaaaa!!!!
Kwa hiyo mwanamke asiende akafurahi kwenye kumbi za starehe kisa ni mwanamke....

Mfumo dume sijui utaisha lini jamani.
Meona ee, ni sheeedah!
 
Money Penny, siku hizi kuna wanaume suruali wale wanaume rijali sijui wameshakufa au wamezeeka.....

Kizazi hiki cha Marioo huo ujasiri wanaupata wapi kwa mfano,
Mwanaume akimuona mende anapiga kelele....

Pathetic.
Ahahahaa, nimecheka mpaka mbwa nje wamebweka! Ahahaha

"KUMBI ZA STAREHE"

Yaani huoni hata aibu kweli,
Hebu rudia kuisoma tena comment yako,

Hivi hamjiulizi kuwa kwa nini siku hizi waoaji hamna.
Si mnaboa wanaume hamtupi mihemkoo tutake kutulia na nyie ndo maana tunawapanga na wanaume 2-3
Mpaka mnyooke!

Ahahahaha
Mtawezana maana ushapata twishen kwa rafkiako?! Ahahaha ni sheddaaaah mtaani kumenuna! Kiru!

tatizo na wanawake siku hizi mmezidi ukauzu, mnajifanya kama madume...asili ya wanawake siku hizi imepotea kabisa...
Sio kweli tumekuwa wapiganaji, wakakamavu, maljia wa nguvu, kama hauna mchuzi no excuse!

Aibu iwe juu yako,
Hizo kumbi walijengewa Panya????

Waoaji hakuna???? Teh teh sema wewe hujaoa harusi zote hizi tunazo hudhuria.....

* Blue na mkewe walikutana Bills.*
Bora umwambie kabisaa
ICE T alikutana na COCO strip club na akamuoa ndani ya miezi 6, imagine changudoa wa strip club anaolewa na billionaire rapper na series director na collage teacher! Kama ipo ipo tuuu hata uitwe malaya kama Maria Magdalena kwenye biblia kama umeandikiwa ndoa ipo tuu!

Tatizo umagharibi mwingi,
Anyway,
Yalikuwa ni mawazo yangu,
Usiku mwema.
Aya buana wasalimie ndotoni
 
Hahaaaaaaa wanatiaga hamasa hadi basi yaaan unaweza kuhama mbingu
 
This song is one of my favorite, I name my son Julio cause of this song
 
Jamani juzi kati hapa si ulitokewa na jamaa hapo mlimani city ukajifanya bubu? ama nimefananisha? nani alikuja na Uzi hapa kuwa kamchezea chezo jamaa alikuwa anamtokea lkn kajifanya bubu?
 
Jamani juzi kati hapa si ulitokewa na jamaa hapo mlimani city ukajifanya bubu? ama nimefananisha? nani alikuja na Uzi hapa kuwa kamchezea chezo jamaa alikuwa anamtokea lkn kajifanya bubu?
Ndio mie soma thread yangi inaitwa Bubu wa kugongea hehe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…