Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Ai weweeee usipiteee tuachie msaadaNapita
We got smart. Buy your own damn drinks.
Du!Ohhhh byutful lady ..... i kno yu nid strong man n aggressive mind to master yhu...
Njooo nikulee kibabe ....mi nshamfuataga gal hadi home n dingi ake ni soulja Meja pale OLJORO...demu masela walikua wanamhanya kisa mdingi...
Mtoto alikua sooo hot hajamptaga THE STRONG MAN TO CROSS THE LINE.....kutokea mie nkavunja GLASS had I kesho ananiulizaga nlijiamini nin??
Du! Kweli wewe bado sana, ngoja unyooke utakuja kuufura tu huu usemi wako.Siku hizi tunatumia vizuri uwezo wetu wa kufikiri na kutafakari tuliopewa na MUNGU (VISION OF MIND),
Tunajielewa na tunajiheshimu,
Mwanamke anayeenda viwanja afu nimshobokee ,
HAMNA MWANAMKE HAPO
Ilikuwa zamani ila sio zama hizi ndio maana umekuja unalia lia hapa jukwaani.Du!
Sasa ulimuoa au ulimuacha juu ya mawe?!
Du! Kweli wewe bado sana, ngoja unyooke utakuja kuufura tu huu usemi wako.
Wameolewa machsngudoa itakuwa waenda disco?!
bahati mby saaan.....men hua hatupendi kuoa tuliowabikiriiiiii..has mimi ........nataka mzoefu Ila napenda kuvunja GLASSSS
Mmmh! Tembea uone bro!Ilikuwa zamani ila sio zama hizi ndio maana umekuja unalia lia hapa jukwaani.
Siku hizi tuko interested zaidi na tunaokutana nao kazini,mtaani,vyuoni,jf ila sio tunaokutana nao bar na clubs!Wako wapi Agressive Man sikuhizi?! Wanaume Majasiri wa kujitoa ufahamu wakifukuzia wanachokitaka?! Skuhizi wanakaaa tu wanasubiri wadada waje, kiru!
not oll men but most of us......Kiruuu! Ndoooroooboooe! Labda wewe pekee usiwasemee wanaume wenzio, vbaya ivoo!
Honey utakuwa freak wa kupasua glass
Wapo romantic afu watamu, ngumu kuachana.. hii bomba mbaya bronot oll men but most of us......
but y??? some of yhu galz interested on this kind men????
Ahahahha, nimecheeekaaTuko huku panda magari yanayoekelekea mbagala shuka mivinjeni panda kushoto kata kulia teremka nyuma ya jalala anagalia nyuma utatukuta
Che! JF?! Kuna wana JF wowote ushasikia wameoana?! Nipe mifano hata 20 kwa kuanziaSiku hizi tuko interested zaidi na tunaokutana nao kazini,mtaani,vyuoni,jf ila sio tunaokutana nao bar na clubs!
Mbona mna hasira, hate the game and not the playerInternet imetengeneza madomo zege!!! Kutwa kubwabwaja na kujitia vidume mitandaoni ila ukiwapeleka kwenye real world midomo inakufa ganzi.
Makubwaaaaa!!!!Siku hizi tunatumia vizuri uwezo wetu wa kufikiri na kutafakari tuliopewa na MUNGU (VISION OF MIND),
Tunajielewa na tunajiheshimu,
Mwanamke anayeenda viwanja afu nimshobokee ,
HAMNA MWANAMKE HAPO