Msaada wenu kwa wanaotumia propeller ads,algorithm na wengine nisaidieni hapa

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
428
575
Habarini
Leo nimejiunga na propeller ads sasa katika kuchagua zone ads nimejikuta nashindwa kwa sababu Mimi hua napenda sana banner ads.
Sasa propeller ads hawana hio kitu.
Wame andika coming soon
Nisaidieni ni ads zipi za propeller nitakapo ziweka kwenye blog yangu haitasumbua wasomaji wangu pia Haita athiri website traffic.
Pia kwa wale mnaopiga 100$ kwa Siku kwa propeller mnatumia ads zipi.
 
Hakuna uchawi mwingine zaid ya popunder ads maana ndo zinalipa na kama hutaki kusumbua visitor wako basi propellar haikufai.
 
tumia>> native subscription(ad format mpya), direct links, interstitial.. hizi hazisumbui watembeleaji..
 
Habarini
Leo nimejiunga na propeller ads sasa katika kuchagua zone ads nimejikuta nashindwa kwa sababu Mimi hua napenda sana banner ads.
Sasa propeller ads hawana hio kitu.
Wame andika coming soon
Nisaidieni ni ads zipi za propeller nitakapo ziweka kwenye blog yangu haitasumbua wasomaji wangu pia Haita athiri website traffic.
Pia kwa wale mnaopiga 100$ kwa Siku kwa propeller mnatumia ads zipi.
$100 kwa blog zipi?
 
Back
Top Bottom