msaada wenu haraka!

PSYCHOLOGY

Senior Member
Feb 10, 2011
177
14
habari wana JF!
Kuna rafiki yangu yeye si mtaalam wa mambo ya sheria lakini hapendi upuuzi(kuonewa).
Alifanyiwa zengwe wakati akimlalamikia mtaalam wa sheria maana hakumuwakilisha ipasavyo.
Huko wakatengeneza zengwe shauri likafutwa. Jamaa akakata rufaa amepewa waheshimiwa majaji wa tatu.
Wanaowakilisha ni attorney state jamaa anakomaa mwenyewe...maana aliwatafuta mawakili wamemkwepa kwa kua shauri lenyewe ni la maadili isitoshe linamhusu wakili mwenzao.
Hivi hili shaur lake litaendeshwa vipi? Maana anaewakilisha ni mtaalam wa sheria nae si mtaalam ila ameshikilia hoja zake muhim ambazo inaonesha atawashinda.
Sasa aliomba shauri lisisikilizwe kwa hoja za maongezi ila zisikilizwe kwa maandishi. Je litawezekana kusikilizwa kwa maandishi?
Tunamsaidiaje humu?
Nimewakilisha.
 
Back
Top Bottom