Msaada : Web API Authentication and Authorization

Software Engineer

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
344
Reaction score
138
Wadau wa Software Dev.
  • Nahitataji kutengeneza API zitakazotumiwa na mobile app & web app
  • Nahitaji kutumia database table moja kuhifadhi mobile & web app users. Mobile App users watatumia phone number kama ID zao na Web App users watatumia e-mail address kama ID zao.
  • Nahitaji njia nzuri(best practices) ya ku-authenticate & authorize mobile app & web app users wanapotumia API
  • Nahitaji kufahamu njia nzuri na salama ya ku-maintain session on mobile app & web app user’s device
Nimepitia tutorials mabalimbali (e.g. HAPA) lakini bado nahitaji kujifunza zaidi kutoka kwenu wadau.

NB:
-API (natengeneza kwa kutumia .NET Web API)

Natanguliza shukrani
 
Binafsi sidhani kama kuna utata hapo, tengeneza web ya kawaida ambayo inaruhusu mtu kuregister & Login, after dhati tengeneza mobile app ambayo itatumia hiyo db wa web kwa kutuia ApI za kawaida
 
Binafsi sidhani kama kuna utata hapo, tengeneza web ya kawaida ambayo inaruhusu mtu kuregister & Login, after dhati tengeneza mobile app ambayo itatumia hiyo db wa web kwa kutuia ApI za kawaida

Asante sana mkuu.

Nimepata HII article imenifungua macho pia.

Thanks again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…