Msaada waungwana, jinsi ya kujua simu halisi

Msaada waungwana, jinsi ya kujua simu halisi

abd-rashid nkando

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
208
Reaction score
160
Ndugu mteja, Serikali imeagiza kampuni za simu kuzima simu zote ambazo sio halisi ifikapo 16.06.2016. Hakikisha umehakiki kama kama simu yako ni halisi
 
Anza na kupiga Kwenye simu husika *#06# utapata Namba IMEI Namba hiyo inakili na itume kwa SMS Kwenda 15090 na utapata jibu hapo hapo. Na maelekezo mengine
 
Hyo sms unatuma mtandao gan? na je kuna gharama yoyote inatozwa?
 
Back
Top Bottom