me nko kgm lkn nlinunua modem hyo dar ili insaidie katka masuala mtandao wa internet. nlipofka nlijaribu kukonect na komputa lkn ilishindwa kufanya kz. baadaye nlienda nayo mjini nkajarbu kuunganisha ikakubali. hivyo nkagundua kua inashikatandao wa 3g pekee cha ajabu na cha kusikitisha ni kuwa speed yake ni ndogo sana tofauti na walivyoonesha kwenye maelekezo yao. je nfanyeje ili niweze kuitumia modem hii kwa speed kubwa na mahali poppte hata kwenye mtandao wa 2g. wataalam nsaidien tafadhal mwenzen ili niweze kuifaidi modem hii kwan kuirudisha siwez