Msaada wataalam

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
3,450
Reaction score
2,683
jamani msaada kwa mtu mwenye idea na hizi mashine fuel injection pump tester..maana kuna mashine nimekutana nayo yenyewe tatizo lake haitaki kuwasha mota ya chini kwakutumia panel yake kwenye computer lakini nikifanya manual nika bonyeze switch zile za sumaku inakubali maramoja..kwamaana signal zinaenda kwenye mota lakini kwakutumia botton haistuki hata kidogo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…