PastorA
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 361
- 275
Habari za mchana Doctors and Professionals... Katika shughuli zangu za kuwashauri watu nimepokea majibu haya ya mtu aliye tokea kupima Nguvu za kiume yaani SEMEN EXAMINATIONS.. naomba msaada wa ufafanuzi wa majibu haya ili nijue cha kumshauri pia.
Naomba kuwasilisha kwenu wataalam.
Naomba kuwasilisha kwenu wataalam.