Uwanja wangu umepakana na kiwanja cha mpira sasa wamiliki wa uo uwanja wa mpira wanatakakuuza kwa muwekezaji na muwekezaji anataka eneo kubwa kwaiyo wametuingilia hadi wanannchi tulio zunguka eneo la uwanja wanang'ang'ania kua ni eneo lao mbaya zaidi mwenyekiti wa kijiji ana mkono kwenye hiyo timu kwaiyo wanatumia kigezo cha mwenyekiti kua mwanachama wa timu iyo kutukandamiza wananchi nina barua ya sahihi za mtu alie niuzia eneo na sahihi za majirani na balozi ila bahati mbaya wote ni marehemu apo maelezo bado yajajitosheleza mkuu