K kiloloma Member Oct 16, 2011 54 3 Aug 18, 2012 #1 Natafuta simu aina ya LG GX. 200 anayejua zinakouzwa Mimi nipo DSM
tindikalikali JF-Expert Member Jan 14, 2011 4,855 1,117 Aug 18, 2012 #2 kiloloma said: Natafuta simu aina ya LG GX. 200 anayejua zinakouzwa Mimi nipo DSM Click to expand... mkuu pita pita posta, anzia na vodashops
kiloloma said: Natafuta simu aina ya LG GX. 200 anayejua zinakouzwa Mimi nipo DSM Click to expand... mkuu pita pita posta, anzia na vodashops
kizoleo Member Apr 19, 2012 79 8 Aug 19, 2012 #3 kiloloma said: Natafuta simu aina ya LG GX. 200 anayejua zinakouzwa Mimi nipo DSM Click to expand... dah! usinikumbushe mwana yani hiyo simu leo hii my mother in low wamemchapa. any way kama unaweza kufika mtaa wa lumumba na agray opposite na ilipokuwa chalinze auto spare parts utazipata hapo mkuu.
kiloloma said: Natafuta simu aina ya LG GX. 200 anayejua zinakouzwa Mimi nipo DSM Click to expand... dah! usinikumbushe mwana yani hiyo simu leo hii my mother in low wamemchapa. any way kama unaweza kufika mtaa wa lumumba na agray opposite na ilipokuwa chalinze auto spare parts utazipata hapo mkuu.