Wadau,anayefahamu duka au mtu anae uza disposable glass with lid,dome shaped lid kwa hapa Dar es salaam,pamoja na price yake wholesale price. Naomba anisaidie
Natanguliza shukran....

Nenda mtaa wa Mkunguni na Sikukuu kuna jengo refu la Bakhressa hapo chini kuna duka la vitu hivyo. Au nenda mtaa wa Tandamti na Sikukuu pia kuna maduka ya vitu hivyo.