Msaada: Wapi nitapata majeneza mazuri zaidi ya Muhimbili?

Msaada: Wapi nitapata majeneza mazuri zaidi ya Muhimbili?

mgole2015

Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
17
Reaction score
2
Wana JF naomba kuuliza ni wapi nitapata majeneza mazuri yenye viwango vya hali ya juu hapa DSM zaidi ya Muhimbili? Asanteni
 
mkuu ni ngumu uzuri wa kitu unatofautiana kati ya ntu na ntu....kuna mengine nayaonaga manzese ss sijui kama mazuri kwako. lakini pia waweza order toka China.
 
Jeneza ni jeneza tu mkuu kama unae marehemu chukua tu hapo kampumzishe huyo marehemu mahala pake,ukitaka uzuri zaidi nunua tu decors haohao wa muhimbili watakutengenezea nakshi uzitakazo.LAKINI KWA MTAZAMO WANGU KUTAFUTA JENEZA LA GHARAMA NI KUTAKA SIFA ZA KIJINGA NA KUTOMTENDEA HAKI MAREHEMU KWA KUMPA HESHIMA YAKE.HESHIMA YA MAREHEMU NI KABURI.PERIOD.
 
Nashukuru kwa mawazo yenu ngoja nisubiri na ya wengine


Kufa ni kufa tu unakua mzoga nunua jeneza kazike acha ubishoo mkuu.

Kwahiyo yasipotokea hayo mawazo utasubiri hata lini?
 
Wana JF naomba kuuliza ni wapi nitapata majeneza mazuri yenye viwango vya hali ya juu hapa DSM zaidi ya Muhimbili? Asanteni

Manzese Argentina, jirani na Iceland Hotel, kuna jamaa wanatengeneza Majeneza, ukifika ulizia jamaa anaitwa Saimon.
 
umenifanya nkumbuke ghafla kuwa kumbe kuna kufa....nmekua mdogo kma sisimiz..
 
Asante sana kwa msaada wenu, nafaham kufa ni kufa naomba tu kuelekezwa ubishoo utakuwa ni wangu naomba nitendewe haki ya kuelekezwa tu.
 
Hili swali kama gumu vile coz utamu wa ngoma uingie ucheze na uzuri wa jeneza nadhani marehemu walioyatumia wangeweza kutujuza jambo ambalo haliwezekani. ila endelea kufanya utafiti.
 
Asante sana kwa msaada wenu, nafaham kufa ni kufa naomba tu kuelekezwa ubishoo utakuwa ni wangu naomba nitendewe haki ya kuelekezwa tu.

pole sana mdogo wangu kwa msiba.
i can feel kwann umeweka huu uzi, muda mwingine unaweza kufiwa na mtu wako mpendwa sana ukawaza nimfanyie nini ukashindwa kupata jibu. hapo ndipo ule msemo wa Yesu "usemao maskini mnao kila siku lkn mimi hamnami tena"

najua utakuwa umewaza mpendwa wako haunaye tena na hata hizo hela kwako sio tabu acha umpambe utakavyo mie nakumbia go for it. mpambe upendavyo ili uridhike.

kwa hapa DSM bado majeneza yanapatika Muhimbili ndipo kuna majeneza mazuri zaid kuliko ya temeke ama manzese ila pia ukienda pale keko funiture wanweza kukutengeenzea utakalo wewe kwa design uliyoona nzuri waweza kugoogle design za majeneza unayotaka ukawapelekea wakakutengenezea. kuna tetesi kwamba Decor huchongea majeneza pale Keko so waweza kwenda na design ukachongewa.

once again pole sana lwa kuondokewa na mpendwa wako.
 
Asante sana nimeishapoa uneongea point tupu ubarikiwe sana napia nashukuru sana@gfsonwin
 
Kufa ni kufa tu unakua mzoga nunua jeneza kazike acha ubishoo mkuu.

Kwahiyo yasipotokea hayo mawazo utasubiri hata lini?

Tengua hiyo kauli ya mzoga, ni matusi makubwa sana marehemu kumuita mzoga.
 
Duh! na makamera ya video misibani...
Kama unataka kumlidhisha sana marehem wako mjengee nyumba kabisa mzike humo, mwekee tv, friji, sofa na mengineyo (he wont hear, he wont see yu, he acknowledge your effort, hes/shes in foreva silence maafaka)
 
Back
Top Bottom