Msaada,wapi kuna degree ya HRM kati ya Mzumbe na TIA

Msaada,wapi kuna degree ya HRM kati ya Mzumbe na TIA

Mkatakamba

Member
Joined
Oct 6, 2017
Posts
10
Reaction score
3
Habari zenu,ninaomba msaada maana na mimi ni mmoja ya tuliopata multiple selections

Kati ya Mzumbe na TIA(Dar) ni ipi inayotoa degree ya Human Resources mgt nzuri
 
Aisee nenda mzumbe ila ukakomae kuna nyauba huko
 
njoo mzumbe mkuu...chuo cha tatu kwa ubora Tz
 
Sawa nakuja huko
Na vipi kuhusu likizo zao maana naskia n ndefu sana,inakuaje hapo!?
yah ni ndefu kwa first year ila inategemea na school / faculty uliopo...kwa mfano waliopo faculty of science and technology (FST) wanaosoma kozi kama ITS, ICTM, na wengine wao hua awana likizo ndefu sana tofaut na wale walioko school kama School of public administration (SOPAM), School of business n.k. hua wakishafika chuo kama mwaka wa kwanza wanasoma semester moja then wanaenda likizo mwez wa 3 mpka mwez wa saba then wanarud chuo kusoma semester ya pil kwa miez miwil tu (apa ni atari aisee akuna kulala ni msuli tu)... hii hua inafanywa kwa lengo mahususi la kupokezana na mwaka wa 3 ambao wanakua wanarudi toka kufanya research ama project ili kufanikisha accomodation sahihi ya wanafunz na jinsi walimu watakavokua wanafundisha
 
T.I.A pako poa sana nilisoma hapo mazingira mazuri then si unajua dar es salaam tena bata kwa sana
 
Back
Top Bottom