Acha kutaka kuwa mteja wa shetani mkuu utaishia kuwa mtumwa wa ibilisi maisha yako yote
Kama amekuacha shukuru Mungu kuwa hakuwa wako huyo tulia umuombe akupe aliye wako kumng'ang'ania ndiyo mwishoni mnajiua kwa matatizo atakayokupatia. Muache aende hata kama bado unampenda