msaada wandugu

happy amos

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
251
Reaction score
434
habar zanu wanajamvi
naombeni msaada wa ushauri. mimi mwenzenu karibia kila siku nikilala naota nikifanya mapenzi na mtu nisiemjua, wakati mwingine naota na du na x-wangu, pia naweza kuota nafanya mapenzi hata na mtu aliekufa na ikitokea hivyo asubuhi naamka nimechafuka as if nilikua nafanya mapenzi naombeni ushauri wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…