Msaada wandugu kuhusu mafao

ladyfocus

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
968
Reaction score
711
Nataka kuacha kazi sekta binafsi je nitapewa kihela vyangu? Nipo nssf naskia tu mambo yamebadilika. Nitumie mbinu gani jamani?
 
Nataka kuacha kazi sekta binafsi je nitapewa kihela vyangu? Nipo nssf naskia tu mambo yamebadilika. Nitumie mbinu gani jamani?
Utapata 33.3% ya mshahara wako kwa miezi 6 tu, then zingine subiria ukifika umri wa kustaafu ukijaaliwa.
 
Ukitegemea mafao ya NSSF kuyapata hivi karibuni utapata tabu sanaaaaa endelea na kazi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…