vidudi Member Joined Jun 28, 2016 Posts 75 Reaction score 37 Oct 5, 2016 #1 Jamani naombeni msaada wenu, kwa mweyekujua jinsi ya kupata joining instruction ya chuo cha Bandari Dar es Salaam au kama umesoma hapo, au kuna mtu unamjua anasoma hapo msaada plz.
Jamani naombeni msaada wenu, kwa mweyekujua jinsi ya kupata joining instruction ya chuo cha Bandari Dar es Salaam au kama umesoma hapo, au kuna mtu unamjua anasoma hapo msaada plz.
KIMBE_KING Member Joined Oct 3, 2013 Posts 6 Reaction score 3 Oct 5, 2016 #2 Sina uhakika kama wana-system ya kuitoa kwa njia ya mtandao, ila nakumbuka walikuwa wanaitolea pale pale chuoni.
Sina uhakika kama wana-system ya kuitoa kwa njia ya mtandao, ila nakumbuka walikuwa wanaitolea pale pale chuoni.
vidudi Member Joined Jun 28, 2016 Posts 75 Reaction score 37 Oct 5, 2016 Thread starter #3 KIMBE_KING said: Sina uhakika kama wana-system ya kuitoa kwa njia ya mtandao, ila nakumbuka walikuwa wanaitolea pale pale chuoni. Click to expand... Ahsante kaka ila naomba msaada zaidi kwa hili hata contact zako naomba unipatie kwa kuni PM
KIMBE_KING said: Sina uhakika kama wana-system ya kuitoa kwa njia ya mtandao, ila nakumbuka walikuwa wanaitolea pale pale chuoni. Click to expand... Ahsante kaka ila naomba msaada zaidi kwa hili hata contact zako naomba unipatie kwa kuni PM
KIMBE_KING Member Joined Oct 3, 2013 Posts 6 Reaction score 3 Oct 5, 2016 #4 vidudi said: Ahsante kaka ila naomba msaada zaidi kwa hili hata contact zako naomba unipatie kwa kuni PM Click to expand... Poa, nimekutumia.
vidudi said: Ahsante kaka ila naomba msaada zaidi kwa hili hata contact zako naomba unipatie kwa kuni PM Click to expand... Poa, nimekutumia.
vidudi Member Joined Jun 28, 2016 Posts 75 Reaction score 37 Oct 5, 2016 Thread starter #5 thanx KIMBE_KING said: Poa, nimekutumia. Click to expand... Thanks